NAFASI ZA KAZI 48 WIZARA YA AFYA-Deadline April 23, 2019

TANGAZO LA AJIRA

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kupitia kibali cha Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA. 10/128/01“C”/145 cha tarehe 26 Machi, 2019, inatangaza nafasi za wazi za kazi 48 za kada nane (8) za afya kujaza nafasi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa.

A.          Nafasi za kazi zinazotangazwa ni kama zifuatazo:-

 1. Daktari Bingwa Daraja la II – nafasi 3
  1. Sifa za

Kuajiriwa waombaji wenye shahada ya uzamili ya Udaktari Bingwa/Udaktari Bingwa wa Meno (M.Med/M.Dent au PhD kwenye fani ya Udaktari) ya miaka mitatu au zaidi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).

b) Kazi na majukumu:

 1. Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani
 2. Kupanga, kusimamia na kutathimini huduma za matibabu katika Hospitali.
 • Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyopo karibu na Hospitali.
 1. Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa

 

 1. Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa
 2. Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake
 • Kubuni, kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo
 • Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake
 1. Kutoa huduma za “outreach” kwa kadiri
 2. Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya
 3. Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya
 • Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
 • Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya
 • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi

c)  Mshahara -TGHS G

 1. Daktari Daraja la II – nafasi 10
  1. Sifa za

Kuajiriwa waombaji wenye Shahada ya Udaktari/Udaktari wa Meno kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza “Internship” na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika.

b)    Kazi na majukumu:

 1. Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa  ya watoto, magonjwa  ya akina mama na upasuaji wa kawaida na wa
 2. Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la
 • Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya
 1. Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya takwimu ya

 

 1. Kupanga na kutathimini huduma za afya katika
 2. Kufundisha wanafunzi na watumishi walio chini
 • Kusimamia na kuelekeza wafanyakazi walio chini
 • Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza
 1. Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani
 2. Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za
 3. Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement).
 • Kutoa huduma za “outreach” katika wilaya na Mikoa ya karibu na

Hospitali.

 • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

c)   Mshahara -TGHS E

 

 1. Mfamasia Daraja la II – nafasi 1
  1. Sifa za

Kuajiriwa waombaji wenye Shahada ya Famasi kutoka Chuo kinachotambuliwa na serikali aliyehitimu mafunzo ya vitendo kazini (Internship) ya mwaka mmoja ambao wamesajiliwa na Baraza la Famasi

b) Kazi na majukumu:

 1. Kuainisha mahitaji ya mwaka ya dawa na vifaa na kuandaa bajeti yake.
 2. Kuagiza, kununua, kuhifadhi na kusambaza dawa na vifaa tiba katika
 • Kuweka kumbukumbu za
 1. Kuandaa orodha ya dawa za hospitali (Hospital Fomulary).
 2. Kutoa dawa na vifaa tiba kwa
 3. Kusimamia matumizi sahihi ya
 • Kutengeneza dawa (compounding) kwa matumizi ya
 • Kukagua maduka ya dawa katika sekta

 

 1. Kutoa taarifa juu ya madhara yatokanayo na matumizi ya dawa (adverse drug reaction).
 2. Kuelimisha watumishi walio chini yake, watumishi wengine wa sekta ya afya na jamii juu ya matumizi sahihi ya
 3. Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Dawa katika
 • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi

c)  Mshahara – TGHS D

 

 1. Mteknolojia Daraja la II, (Maabara, Radiolojia na Dawa) -nafasi 7 Mteknolojia Daraja II – Maabara

a)  Sifa za Elimu.

Kuajiriwa waombaji wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia maabara kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la wataalam wa Maabara, (Health Laboratory Practitioners Council).

b) Kazi na majukumu:

 1. Kupima sampuli zinazoletwa
 2. Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi za
 • Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali na kuhifadhi ya kemikali
 1. Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa
 2. Kufundisha watumishi walio chini
 3. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi

c)  Mshahara – TGHS B

Mteknolojia Daraja II – Radiolojia

 1. Sifa za

Kuajiriwa waombaji wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la wataalam wa Radiolojia, (The Medical Radiology and Imaging Professionals Council).

b) Kazi na Majukumu:

 1. Kuwapima wagonjwa wanaolekezwa kwenye eneo lake la kazi
 2. Kutunza mitambo na vifaa vya Radiolojia katika eneo lake la kazi
 • Kuhakikisha picha za X-Ray zilizopimwa zina ubora
 1. Kutuma picha za wagonjwa kwa madaktari wanaohusika na usomaji wa majibu ya vipimo
 2. Kusimamia watumishi walio chini
 3. Kutoa Ushauri kuhusu masuala ya kazi za Radiolojia na Mionzi katika eneo lake la
 • Kuandaa vifaa vya tiba/uchunguzi na kusimamia utakasaji vifaa katika eneo lake la kazi (sterilization)
 • Kutoa mafunzo ya awali kwa watumishi wanaopangiwa kazi katika eneo lake la
 1. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

c)  Mshahara – TGHS B

Mteknolojia Daraja II – Dawa

 1. Sifa na

Kuajiriwa waombaji wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia dawa kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Wafamasia.

b) Kazi na Majukumu:

 1. Kuainisha, kuandaa na kuagiza mahitaji ya dawa na vifaa tiba katika eneo lake la

 

 1. Kugawa dawa na vifaa tiba kwa wagonjwa na
 • Kuhifadhi dawa na vifaa tiba
 1. Kuelimisha jamii kuhusu matumizi sahihi ya dawa
 2. Kukagua dawa, vifaa tiba kemikali, vitendanishi na vipodozi katika
 3. Kutoa taarifa juu ya madhara yatokanayo na matumizi ya
 • Kushiriki kazi za kamati ya dawa ya
 • Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba
 1. Kufanya uchunguzi wa ubora wa dawa, vifaa tiba kemikali, vitendanishi na vipodozi
 2. Kufanya kaguzi mbalimbali katika sehemu zinazohifadhi
 3. Kusimamia utendaji wa kazi watumishi walio chini yake
 • Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba
 • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

c)  Mshahara – TGHS B

 

 1. Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II – nafasi 8
  1. Sifa za

Kuajiriwa waombaji wenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi, kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.

b) Kazi na Majukumu:

 1. Kutoa huduma za uuguzi
 2. Kukusanya takwimu muhimu za
 • Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake
 1. Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya
 2. Kutoa huduma za kinga na
 3. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

c)  Mshahara – TGHS B

 

 1. Muuguzi Daraja la II – nafasi 4
  1. Sifa za

Kuajiriwa waombaji wenye cheti cha Uuguzi cha miaka miwili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kuandikishwa (Enrolled) na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.

b) Kazi na Majukumu

 1. Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika hospitali na sehemu zote zinapotolewa huduma za
 2. Kusimamia na  kuratibu  kazi  zote  za  wasaidizi  wa  afya  katika
 • Kukusanya takwimu na kutayarisha taarifa za utendaji wake wa kazi.
 1. Kutoa huduma kwa wagonjwa wakati wa kliniki
 2. Kutoa ushauri
 3. Kutoa huduma za kinga na uzazi wa
 • Kutoa huduma za uzazi na afya ya
 • Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya
 1. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi

c)  Mshahara – TGHS A

 

 1. Fundi Sanifu Vifaa Tiba Daraja la II – nafasi 2
  1. Sifa za

Kuajiriwa waombaji wenye Stashahada ya ufundi katika fani ya Ufundi Sanifu vifaa Tiba (Biomedical Engineering Technician) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

 

b) Kazi na majukumu:

 1. Kufanya kazi za Mhandisi Vifaa Tiba daraja la
 2. Kufanya matengenezo ya vifaa tiba vya
 • Kufanya matengenezo kinga ya vifaa tiba vya
 1. Kuandaa bajeti na mipango ya kazi za ufundi na matengenezo ya vifaa tiba vya
 2. Kusimamia na kufundisha wafanyakazi walioko chini

 

 1. Kufundisha watumiaji wa vifaa tiba juu ya utunzaji na utumiaji mzuri wa vifa
 • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi

c)  Mshahara – TGHS B

 

 1. Wasaidizi wa Afya – nafasi 13
  1. Sifa za

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nnne waliofuzu mafunzo ya mwaka mmoja katika fani ya Afya, Afya Ngazi ya Jamii au mafunzo yoyote yanayofanana na hayo kutoka Vyuo vya Afya vinavyotambuliwa na Serikali.

b) Kazi na majukumu:

 1. Kufanya usafi wa vifaa vya kazi, maeneo ya kutolea huduma za afya pamoja na mazingira yanayozunguka Hospitali,
 2. Kumsaidia mgonjwa asiyejiweza kwa mfano kumlisha, usafi wa mwili, nk
 • Kukusanya nguo chafu na kuzipeleka kufuliwa (Laundry)
 1. Kupeleka sampul za mgonjwa kwa ajili ya vipimo vya maabara na kufuatilia majibu,
 2. Kuwasafirisha wagonjwa kati ya Idara moja na nyingine ndani ya Hospitali,
 3. Kutunza vifaa vya usafi,
 • Kufanya shughuli nyingine atakazopangiwa na kiongozi wake wa kazi.

c)  Mshahara – TGHOS A

 1. Sifa za Jumla Kwa Waombaji
  1. Awe raia wa Tanzania
  2. Awe na umri usiozidi miaka 45
  3. Mwajiriwa wa Serikali au mwajiriwa wa Hospitali za Mashirika ya dini ambaye mshahara wake unalipwa na Serikali anapaswa kupitisha

 

maombi yake ya kazi kwa mwajiri wake.

 1. Mwombaji ambaye alishaajiriwa Serikalini na kupata cheki namba, atatakiwa kuzingatia utaratibu wa uhamisho katika Utumishi wa Umma au utaratibu wa kurejea katika Utumishi wa Umma baada ya kuacha kazi kama ulivyobainishwa kwenye Waraka wenye Kumb. Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti,
 2. Mwombaji awe na sifa zilizoainishwa katika Waraka wa Maendeleo ya Utumishi Namba 1 wa Mwaka 2009 kuhusu kada zilizo chini ya Wizara ya

 

C.    Maombi yote yaambatanishwe na: –

 1. Nakala ya cheti cha kuzaliwa
 2. Nakala ya cheti cha kidato cha nne na/au cha sita kulingana na kada ya mwombaji
 3. Nakala za vyeti vya taaluma (Shahada ya Uzamivu, Uzamili, Shahada, Stashahada, Astashahada na “Transcript”) viambatanishwe kulingana na kada
 4. Nakala ya cheti cha usajili wa taaluma husika
 5. Maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
 6. Picha ndogo (passport size) mbili za hivi karibuni

NB:

 • Nakala za vyeti vyote vithibitishwe na Mahakama au Wakili aliyesajiliwa.
 • Waombaji waliosoma nje ya Nchi, vyeti vyao vya Elimu ya Sekondari na Taaluma vinapaswa viwasilishwe pamoja na ithibati kutoka mamlaka
 1. Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta katika anuani ifuatayo:

 

Katibu Mkuu (Afya),

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Chuo Kikuu Cha Dodoma,

Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Maendeleo ya Jamii, Jengo Na. 11,

S.L.P 743,

40478 DODOMA.

Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 23/4/2019 Imetolewa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Afya 9/4/2019

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*