NACTE: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA KUTHIBITISHA NA KUBADILI KOZI/CHUO

Baraza linapenda kuwafahamisha wanafunzi waliochaguliwa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI kujiunga na Vyuo vya Elimu ya Ufundi na umma kwa ujumla kuwa Mfumo wa Kuthibitisha (Confirm) kukubali kujiunga na kozi zinazosimamiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) umefunguliwa rasmi kuanzia tarehe 9 Juni, 2019 hadi 30 Agosti, 2019.

VIEW AU DOWNLOAD PDF FILE-KUSOMA TAARIFA KAMILI

 

Uthibitisho wa kujiunga na vyuo kwa wale waliochaguliwa na OR-TAMISEMI kujiunga na vyuo vya Elimu ya Ufundi na Mafunzo

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*