MAAFISA KILIMO WASAIDIZI WANAHITAJIKA

AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III (AGRICULTURAL FIELD OFFICER III) – 5 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2019-08-06
Application Deadline: 2019-08-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.Kushirikiana na wakulima kuendesha mashamba ya majaribio na mashamba darasa;

ii.Kutembelea wakulima/vikundi vya wakulima katika mashamba yao na kutoa ushauri wa kitaalamu juu ya mbinu bora na          za kisasa za kilimo cha kibiashara;

iii.Kufundisha na kuelekeza wakulima juu ya matumizi bora ya mbolea, madawa na zana za kilimo;

iv.Kukusanya na kutunza takwimu za hali ya kilimo katika Kijiji;

v.Kubuni na kuandaa vihenge vya kisasa vya hifadhi ya mazao na kutoa elimu ya matumizi sahihi ya mazao;

vi.Kutoa taarifa juu ya dalili za kuwepo visumbufu vya mimea na mazao;

vii.Kuandaa na kutumia daftari la kilimo katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku;

viii.Kushiriki katika mchakato wa kuibua fursa na vikwazo vya maendeleo (Opportunities and Obstacles for Development (O            & OD) na kuandaa mpango wa maendeleo ya kilimo wa kijiji (Village Agricultural Development Plan (VADP), na

ix.Kuandaa taarifa ya utekelezaji ya kila mwezi kuiwasilisha kwa Afisa Ugani wa Kata na nakala kuiwasilisha kwa Afisa                  Mtendaji wa Kijiji.

 

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa waliohitimu kidato cha nne wenye stashahada ya Kilimo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

 

BONYEZA HAPA>>>>FUNGUA ACCOUNT & APPLY ONLINE

 AFISA KILIMO DARAJA LA II (AGRICULTURAL OFFICER II) – 3 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2019-08-06
Application Deadline: 2019-08-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea,

ii.Kukusanya takwimu za bei za mazao kila wiki na kila mwezi.,

iii.Kukusanya takwimu za upatikanaji wa mazao katika masoko kila wiki/mwezi,

iv.Kuendesha mafunzo ya wataalam wa kilimo,

v.Kufanya ukaguzi wa ubora na matumizi ya pembejeo na zana,

vi.Ufuatiliaji wa mwenendo wa soko la mazao ya biashara,

vii.Kuendesha mafunzo juu ya hifadhi bora ya udongo na maji,

viii.Kutoa habari juu ya teknolojia mpya kwa wadau,

ix.Kuaandaa/kuandika taarifa za utekelezaji kwa sekta ndogo  ya mazao,

x.Kusimamia/kuendeleza taaluma ya uzalishaji mboga, matunda, maua na mazao mengine,

xi.Kusimamia/kuendeleza uzalishaji wa mbegu bora,

xii.Kuandaa, kutayarisha kufunga na kusambaza mbegu bora,

xiii.Kufanya majaribio ya magonjwa kwenye mbegu,

xiv.Kufanya ukaguzi wa mbegu mpya kwa kushirikiana na watafiti wa mbegu kabla ya kupitishwa,

xv.Kuendesha mafunzo ya kuzalisha mboga, matunda, maua na viungo,

xvi.Kuhamasisha uzalishaji wa mazao ya bustani,

xvii.Kufanya utafiti mdogo mdogo wa mazao yanayofaa kulimwa katika sehemu ya kilimo cha umwagiliaji,

xviii.Kufanya utafiti wa udongo

xix.Kuhamasisha uanzishaji wa vikundi vya wakulim/wamwagiliaji,

xx. Kuzalisha mbegu za msingi baada ya kuzalishwa na watafiti; na

xxi.Kuendesha/kusimamia vishamba vya majaribio vya mbegu na uchunguzi maabara ili kuondoa utata juu ya mbegu.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye shahada ya Kilimo au shahada ya Sayansi waliojiimarisha katika mchepuo wa kilimo kutoka Chuo kikuu cha Kilimo Sokoine au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

BONYEZA HAPA>>>FUNGUA ACCOUNT & APPLY ONLINE

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*