MHUDUMU WA MIFUGO ANAHITAJIKA

MHUDUMU MIFUGO (LIVESTOCK ATTENDANT) – 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2019-08-06
Application Deadline: 2019-08-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.Kuchunga na kulisha mifugo,

ii.Kujenga/kukarabati uzio wa shamba la ‘padock’

iii.Kufanya usafi wa vifaa, kutunza na kuhudumia wanyama wadogo wa maabara,

iv.Kutunza wanyama kwa ajili ya majaribio ya utafiti,

v.Kuogesha mifugo (dipping/spraying)

vi.Kukamua mifugo na kusambaza maziwa sehemu husika,

vii.Kutambua na kuandaa majike yanayohitaji kupandishwa,

viii.Kuwamba ngozi (Hides/skin dressing)

ix.Kufanya usafi kwenye miundombinu ya mifugo ikiwemo, machinjio, vituo vya

karantini, vituo vya kupumzikia (Holding grounds), minada, vituo vya kutolea na

kuandaa mifugo iliyokaribia kuchinjwa,

x.Kuandaa vifaa kwa ajili ya tiba na wakati wa kufanya uchunguzi wa mizoga ya

wanyama (postmortem) usafi na kuchemsha vifaa (Equipment sterilization),

xi.Kutoa taarifa mbalimbali za mifugo kuhusiana na; vizazi, vifo, chakula, uzalishaji

wa maziwa na utagaji mayai kwa msimamizi wa kazi, na

xii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimazi wake wa kazi zinazohusiana

na fani yake.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV ambao wamehudhuria mafunzo ya mifugo ya muda wa mwaka mmoja na kutunukiwa cheti kutoka katika Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDCs) au Vyuo vinavyotambuliwa na Mamlaka ya Elimu ya Ufundi Stadi (VETA)

BONYEZA HAPA>>>FUNGUA ACCOUNT & APPLY ONLINE

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*