NAFASI 12 ZA KAZI-AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA II (LIVESTOCK FIELD OFFICER II)., – 12 POST

AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA II (LIVESTOCK FIELD OFFICER II)., – 12 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2019-08-06
Application Deadline: 2019-08-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.Atafanya uchunguzi wa magonjwa ya mifugo kwa wafugaji wa eneo lake;

ii.Kwa kushirikiana na wakaguzi wa afya, atakagua nyama na usafi wa machinjio mara kwa mara;

iii.Atakusanya takwimu za nyama na mazao yatokanayo na mifugo kama ngozi na kuandika ripoti;

iv.Atatibu magonjwa ya mifugo chini ya usimamizi wa Daktari wa mifugo na kushauri wafugaji jinsi ya kukinga mifugo dhidi ya magonjwa;

v.Atatembelea wafugaji mara kwa mara na kuwapa ushauri fasaha wa kitaalam katika eneo lake la kazi;

vi.Atakusanya takwimu zote za maendeleo ya mifugo katika eneo lake;

vii.Atashauri na kusimamia ujenzi wa majosho, machinjio, vibanio na miundo mbinu inayohusiana na ufugaji bora;

viii.Atahusika na uhamilishaji (Artificail Insemination) na uzalishaji (breeding) wa mifugo kwa ujumla;

ix.Atashauri wafugaji kuhusu mbinu bora za kuzalisha maziwa na utunzaji wa ndama;

x.Atafanya kazi nyingine za fani yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi wa kazi.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha VI waliofuzu mafunzo ya Stashahada (DIPLOMA) ya mifugo kutoka chuo cha Kilimo na Mifugo (MATI au LITI) au chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali.

BONYEZA HAPA>>>>FUNGUA ACCOUNT & APPLY ONLINE

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*