NAFASI YA KAZI-MHUDUMU WA BOTI (BOAT ATTENDANT) – 1 POST

MHUDUMU WA BOTI (BOAT ATTENDANT) – 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2019-08-06
Application Deadline: 2019-08-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.Kulinda boti/meli

ii.Kutunza usafi wa meli/boti

iii.Kutunza usafi wa vyombo vya  kuvulia samaki

iv.Kufanya ukarabati mdogo wa meli/boti ya uvuvi

v.Kuegesha boti dogo la uvuvi kama inavyotakiwa

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (IV) wenye cheti cha uvuvi kutoka Chuo    cha Uvuvi Nyegezi au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

 

BONYEZA HAPA>>>FUNGUA ACCOUNT & APPLY ONLINE

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*