MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II – NAFASI 113 – 113 POSTS

MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II – NAFASI 113 – 113 POST

Employer: Ministry of Natural Resources and Tourism
Date Published: 2019-08-28
Application Deadline: 2019-09-10

JOB SUMMARY:

NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

•Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi;

•Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi;

•kusimamia uwindaji wa kitalii na utalii wa picha;

•kulinda Nyara za Serikali;

•Kusimamia usafirishaji wa wanyamapori na nyara nje na ndani ya Nchi;

•Kusimamia matumizi ya magari ya doria;

•Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na kutunza takwimu zao;

•Kuratibu uingiaji wa wageni katika Mapori ya Akiba;

•Kudhibiti moto katika hifadhi;

•Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani;

•Kukusanya takwimu za wanyama na mimea kwenye hifadhi; na

•Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake.

 

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI wenye Stashahada ya Uhifadhi Wanyamapori (Diploma in Wildlife Management) kutoka Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Mweka au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali

 

BONYEZA HAPA—-FUNGUA ACCOUNT & APPLY ONLINE

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*