TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya
Elimu Tanzania (TIE), Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Shirika la Elimu
Kibaha (KEC), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na MAMLAKA YA USAFIRI
WA ANGA TANZANIA (TCAA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20 hadi 22 Mei,
2020 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

BONYEZA HAPA KUFAHAMU ZAIDI NA KUPAKUA FILE LA MAJINA

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*