WALIOITWA KWENYE INTERVIEW -ZILE NAFASI ZA KAZI UDSM(TEMPO JOBS), MAONYESHO YA SABASABA 2019

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI YA MUDA MFUPI SABASABA 2019

Kitengo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) kinapenda kuchukua fursa hii kukuhabarisha kuwa kutakuwa na usaili utakaofanyika siku ya Jumamosi tarehe 08/6/2019 saa moja (1) kamili Asubuhi, makao makuu ya UCC, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Mwalimu J.K. Nyerere kwa ajili ya kazi ya muda mfupi uliyoomba.

Hivyo basi, kupitia tangazo hili, unaombwa kufika siku hiyo pasipo kukosa kulingana na orodha ya majina yaliorodheshwa hapa chini kupitia tovuti hii ya UCC (www.ucc.co.tz).

Zingatia kuja na;

  1. Kitambulisho chochote halali

Pakua majina hapa

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*