NAFASI ZA KAZI WIZARA YA KAZI, UWEZESHAJI, WAZEE, WANAWAKE NA WATOTO ZANZIBAR

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto kama ifuatavyo:-

Afisa Ajira Habari Mawasiliano na Ushauri Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Labour” au “Industrial Relation” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa Ajira anaeshughulikia Utafiti Masoko na Uchambuzi Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Labour” au “Industrial Relation” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa Ajira anaeshughulikia (Website Developer) Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Computer Engineering” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapina Zanzibar.

Dereva Daraja la III “Nafasi 3”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata Cheti cha Udereva na leseni hai kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Katibu Muhtasi Daraja la III “Nafasi 3”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Ukatibu Muhtasi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Msaidizi Mwangalizi wa Ofisi Daraja la III “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Utawala kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mtunza Ghala Daraja la III “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada ya Kutunza Ghala “Material Management” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa Uendeshaji Daraja la II “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani Utawala kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa Mafunzo Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu elimu ya Shahada ya kwanza ya katika fani ya Rasilimali Watu/Uongozi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mpiga Chapa Daraja la III “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Chetikatika fani ya Upigaji Chapa kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Taarishi Daraja la III “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amemaliza elimu ya Sekondari.

Afisa Takwimu Daraja la II “Nafasi 6”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Takwimu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa Teknolojia ya Habari ana Mawasiliano Daraja la II “Nafasi 6”
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Habari na Mawasiliano “ICT” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*