JKT yatangaza nafasi za kujiunga na mafunzo ya Jeshi-JKT 2019

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) anawatangazia Vijana wote wa Tanzania Bara na Visiwani nafasi za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea  kwa mwaka 2019.

Utaratibu wa vijana kuomba na hatimaye kuchaguliwa kujiunga na mafunzo hayo unaratibiwa na ofisi za Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambapo muombaji anaishi.

Zoezi la kuchagua vijana linaanza mwezi Juni 2019.

 

SOMA MAELEZO KAMILI NA MAELEKEZO KUPITIA PDF FILE

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*