Called for Interview MDAs and LGAs | MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI WA UMMA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara,Idara zinazojitegemea, wakala wa Serikali na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs NA LGAs) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kada ya Dereva Daraja la II kuwa usaili wa Vitendo unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 08 hadi 26 Julai, 2019 na hatimaye watakaofaulu usaili huo watajulishwa Tarehe ya usaili wa Mahojiano .

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*