MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI(INTERVIEW) ,AJIRA BRELA, TICD,ARU NA KAMPUNI YA HUDUMA ZA MELI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Usajili wa Leseni za Biashara (BRELA), Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD), Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) na Kampuni ya Huduma za Meli (MSC) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 10 – 26 Julai, 2019 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*