BIASHARA: FAHAMU JINSI YA KUTANGAZA BIASHARA YAKO KUPITIA FACEBOOK NA INSTAGRAM (Matangazo ya Sponsored Ads)

JINSI YA KUKUZA BIASHARA YAKO KWA KUTUMIA MATANGAZO YA “sponsored Ads”

Uishawahi pita pita uko Instagram au facebook ukaona “SPONSORED ADS” ???

Leo nataka nikuelezee jinsi ya Ku-Boost matangazo hayo kupitia FACEBOOK na INSTAGRAM

“FACEBOOK INALIPA SANA” Hii nitaelezea siku nyingine JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA FACEBOOK !!πŸ‘Œ

Sasa mimi nawashangaaga sana unakuta mtu anakwambia FACEBOOK ya washambaπŸ˜„πŸ˜„… na anajisifia kabisa eti hana Facebook Account !!! Namimi najiulizaga sijui ana-Survive vp?..anyways !! tuyaache hayo….

Kila mtu majua Facebook ni moja wa mtandao wa kijamii unaokutanisha watu katika kushea maandiko,picha,videos n.k

Mtandao huu wa Facebook ulianzishwa mnamo mwaka 2004 na mwanafunzi wa chuo kikuu cha Harvard, ajulikanaye kwa jina la Mark Zuckerberg na kipindi hicho ulikuwa unatumiwa na wanafunzi tu kwa ajili ya kujadili juu ya masomo yao, lakini baadae uliweza kukuwa zaidi na kuruhusu hata watu wa kawaida kutumia mtandao huo.

SASA LEO WACHA NIKUELEZEE KUHUSU SPONSORED ADS

Natumia lugha nyepes sponsored ads inayofahamika ila kwenye facebook utaona option inaitwa “ADS MANAGER”
au “PROMOTIONS”

VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO ILI UWEZE KU-PROMOTE KUPITIA FACEBOOK NA INSTAGRAM

1️⃣ Lazima uwe na FACEBOOK ACCOUNT iliyokamilika ( yan uwe umejaza taarifa zako zile muhimu kwa profile yako)

Β€ Sasa hapa hii Account yako.
ukishakuwa nayo utafungua account ingine ya Facebook ndab ya iyo iyo account yako -BUSINESS FACEBOOK ACCOUNT

 

2️⃣ Lazima uwe na Account number ya Bank / Card ya Bank yenye pesa

3️⃣Lazima uwe na Instagram Account ( Business Instagram Account)

JINSI YA KUUNGANISHA NA KUWEZESHA ACCOUNT ZAKO ZIWEZE KU-PROMOTE

  1. Β Baada ya kuingia kwenye facebook account yako….

Β€ Unatakiwa Kufungua BUSINESS FACEBOOK ACCOUNT…….ambapo utaingia
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
business.facebook.com

Β€ Ukishaingia hapo utafungua account yako ingine ya biashara ambayo ni maalumu kwa ajili ya matangazo

Β€ Ukishaingia hapo utabonyeza Option ya “CREATE ACCOUNT”

Β€ Alafu utachagua option ya ADS MANAGER – ambapo utaweza tengeneza Tangazo lako

2. Tengeneza Facebook Page kulingana na Aina ya biashara yako….

Β€ iyo facebook page—-Utaona sehemu ya ku-Link Page yako ya facebook na instagram account!! Hapo LINK, NI MUHIMU SANA!

3. Ukisha Fungua Business Account yako…Tafuta option kwenye uko uko Business for facebook sehemu pameandikwa “PAYMENT SETTINGS” ingia hapo…..Jaza taarifa zako za MALIPO

KUMBUKA: KADI YAKO YA BENKI NI LAZIMA IWE IMEWEZESHWA NA BENKI HUSIKA KUFANYA MALIPO ONLINE !! NENDA BENKI YAKO, WAAMBIE WAWEZESHE KADI YAKO.KUFANYA MALIPO ONLINE!! wataiwezesha

● Utajaza Account number yako na taarifa za kadi yako ya Benki

● Utachagua aina ya malipo kulingana na unavyopenda ( Msater Card /Visa Card/paypal n.k)

● utalipia kiasi cha pesa ambacho ungependa kuspend kama Budget yako ya Promotion

ANGALIA HAPA VIDEO YA MAELEKEZO JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT NA KUFANYA SETTINGS ZOTE

 

BAADA YA KUTENGENEZA HIYO BUSINESS MANAGER

KESHO NITAELEZEA JINSI YA KUTENGENEZA TANGAZO AMBALO NDIO SPONSORED AD

NA JINSI YA KUSET BUDGET…NA TIPS MUHIMU KATIKA KUPROMOTE BIASHARA YAKO KUPITIA FACEBOOK /INSTAGRAM

Yani huku …..UNAWEZA TANGAZA BIASHARA YAKO ATA kwa $1 kwa siku tuuh ….SIO BEI KUBWA KAMA WATU WANAVYODHANI HADI WANAOGOPA…..NI BUDGET yako mwenyewe unachagua!!

Β©Makala imeandaliwa na kuandikwa na Unistoretz Inc

ITAENDELEA KESHO…….

Kwa maoni /Ushauri / Marekebisho….Msaada /

Wasiliana nasi
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Email : unistoretz9@gmail.com

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*