WAZO LA BIASHARA: JINSI YA KUFUNGUA YOUTUBE CHANNEL NA TRICK ZA KUPATA SUBSCRIBERS!!

HIZI HAPA MBINU ZA KUTAFUTA SUBSCRIBERS WA YOUTUBE


( NIMEKUWEKEA VIDEO MWISHONI-JINSI YA KUFUNGUA YOUTUBE CHANNEL)

Embu Fikiria kwanza ni kitu gani huwa kinakufanya u-SUBSCRIBE???? Yan ukishapata jibu bhasi ndio kitu icho icho kitawafanya Wengine wa-SUBSCRIBE CHANNEL YAKO!!!

JINSI YA KUPATA SUBSCRIBERES NA VIEWS!!!

  1. TAFUTA NICHE/CONTENT AMBAYO UNAHISI ITAKUWA YA UBUNIFU NA WATU WATAIPENDA!!

—- Yan hapo… Channel yako ya Youtube lazima ieleweke inahusu nini…!! Usiweke videos za mambo mengi mengi ambayo hayaeleweki…… YANI JITAHIDI …..UKIMUILIZA MTU CHANNEL YAKO INAHUSU NINI…aseme DIRECT kuwa inahusu kitu flan!!!

Mfano: labda Channel inayohusu MAPISHI… unakuwa unakuwa unaweka videos kama “ JINSI YA KUTENGENEZA UBUYU”

“JINSI YA KUTENGENEZA KEKI”

yan ukimtumia ata mtu Link—ATASHAWISHIKIA KU-VIEW aone iyo KEKI inatengenezwaje

2. MWENYE NACHO HUONGEZEWA!!

—-hahah unajua ni RAhisi mtu ku-SUBSCRIBE channel yenye subscribers 100 kuliko kusubscribe channel yenye subscribers 10 …..😀!!???

—- Sasa cha kufanya , Ukianzisha channel Jitahidi kwanza KUWASHAWISHI WATU WAKO WAKARIBU/ MARAFIKI KAMA 100-300 hivi wa-Subscribe channel yako ndio uanze kwenda Public!!!….

3. TENGENEZA SUBSCRIBE LINK !!!

— Hii Trick watu wengi Hawaijui!! Ila ni nzuri sana…

 

Fuata Hatua hizi

1. View Channel yako baada ya Kuitengeneza ( View as Homepage ya Channel yako——HOME )

2. utaona Link ya channel yako kwa juu ya Browser pale ( URL of your Channel)

3. Copy iyo url ya channel yako afu ONGEZEA KWA MBELE iki kitu
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
?sub_confirmation=1

Yan mfano hii ndio Link ya Channel ya ko :

www.youtube.com/c/mapishiOnline

Sasa Wewe Ongeze iwe hivi
👇👇👇👇👇👇
www.youtube.com/c/mapishiOnline?sub_confirmation=1

Ukisha tengeneza hiyo Link—-HIYO LINK NDIO UNAWEZA KUSHEA KWA WATU, KWENYE MAGROUP YA WASAPU, FACEBOOK, NA SEHEMU ZINGINE!! yani mtu anakuwa akiclick iyo link…Ni ana-SUBSCRIBE DIRECT😀😀

Pia unaweza Tumia link iyo Ku-Promote!!

Sasa UKIJITAHIDI kutafuta SUBSCRIBERS 20 tuuh kwa siku!! Means ndan ya siku 60 utakuwa ushafikisha SUBSCRIBERS 1000+++

 

NJIA ZINGINE ZA ZIADA KU-BOOST SUBSCRIBERS

4. WEKA SUBSCIBE BUTTON KWENYE VIDEOS ZAKO!!

Maelekezo:

  • Google Picha ——>>Subscribe Button PNG , then download iyo picha
  • Ingia kwenye MY Channel——>>Nenda VIDEO MANAGER——-Then Nenda kwenye CHANNEL——>>>> Then nenda kwenye BRANDING——-Then Add iyo picha ya SUBSCRIBE BUTTON ( chagua Entire Video…yan kaonekane Mwanzo mwisho)

5. WAKUMBUSHE WATU KUSUBSCRIBE CHANNEL YAKO!!

– Yan hakikisha mwanzo wa video unaweka katangazo kidogo cha kuwaambia watu Wa-Subscribe , Katikati ya video na mwisho pia!!

6.FANYA VIDEOS ZAKO ZIWE ZINA MUENDELEZO!!

– Yan mfano, leo umetengeneza Video ya JINSI YA KUTENGENEZA KEKI YA CHOCOLATE ,,,,, bhasi unakuwa unawambia watu SUBSCRIBE CHANNEL YETU…Ili uweze kutazama Video ijayo ya JINSI YA KUTENGENEZA KITU FLAN Kitu flan

7.REPLY na ku-LIKE COMMENTS za WATAZAMAJI WAKO!!

— Unapo-LIKE au kureply watu wanakuwa Notified na inasaidia kuongeza SUBSCRIBERS!!

8.LIVESTREAM!! LIVESTREAM zinasaidia sana ku-Boost Subscribers…lakin hapa ukiwa ushapata subscribers wengi kidogo

9. SHEA VIDEOS ZAKO kwenye MAGROUP ya TWITTER ,FACEBOOK na WHATSAPP!!

— Tena ni muhimu sana Facebook na Twitter!! hii itakusaidia VIDEOS ZAKO KUWA RANKED na GOOGLE ..mtu akisearch Kitu GOOGLE!! VIDEO YAKO INATOKEA PALE S.E.O RANKING!!

10. Tumia KEYWORDS na HASHTAGS ambazo watu wanazi-SEARCH SANA
UKO YOUTUBE na Google !!

– hapa unaweza Google. “how to use Keywords and hashtags on Youtube channel”. UTAELEWA ZAIDI.!!!

 

Huwa watu wanaulizaga sana Nikipata Views kiasi flan nitapata Shiling ngap???

Ukweli ni kwamba … HAKUNA KIWANGO CONSTANT / CONSTANT EARNING!!

Yan ishu ya pesa inakuwa affected na vitu vingi sana….

1. Aina ya watu wanaoviews— Mtu aliyoko Marekani akiview video yako ni tofauti na mbongo!!

—Kuna nchi ambazo wakiviews video yako Unapata $$$ nyingi (Unaweza google kuhusu eCPM na mambo yanayo affect!!

—Ishu zingine zinaathiri earning… Ni muda ambao mtu anatazama video yako….!! Yan anachukua muda gan…

–Ishu nyingine ni Aina ya content yako!! Video yako inahusu nini… Youtube wanakupa Matangazo kulingana na Aina ya Content yako!!!

Kwahiyo hadi na hapo unaona ni ngumu kukadiria mtu anaingiza shingap kwa views!!

Ila kibongo bongo…Tuchukulie mfano video labda ya dakika 3 …. imepata views MILLION.1 ….na ni wabongo wameviews

Makadirio ni kama $800 – $1000

SASA WEWE HAUHITAJI VIEWS MILLION.1 kwenye video.1

Ila unaweza Tengeneza kwa mwezi …. VIDEO 10 tuuh zitakazokupa TOTAL ya VIEWS MILLION.1…

Na tuashumu kila video ukafanikiwa kupata views 100K+++

Means utakuwa umefikisha hao views 1M Wa kibongo na ukapata Zaidi ya Million.2 kwa mwez…. kwa kujiajiri na Youtube Tuuh!!!!

 

VIDEO: JINSI YA KUFUNGUA YOUTUBE CHANNEL

 

Asanteni!!! ….!!!

Kwa USHAURI/MAREKEBISHO n.k

Wasiliana nasi..

unistoretz9@gmail.com

 

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*